
DAR ES SALAAM, Tanzania
Idadi ya Kampuni na Mashirika ya ndege nchini ambayo yameingia kwenye mkataba na Vodacom katika kuwawezesha wateja wake kulipia tiketi za usafiri huo kupitia M-Pesa imeongezeka.
Hadi kufikia sasa Kampuni zilizoingizwa moja kwa moja kwenye mfumo wa huduma hiyo ni pamoja na Shirika la Ndege la Precision, Coastal Travels, Auric Air na Skylink Tanzania. Huku Kampuni nyingine zikipatikana kwenye orodha kwa kuingiza namba ya...