Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi hanga la Precision Air lililopo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Precision Air Bwana Michael Shirima.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi hanga la Precisionair katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi.Kushoto ni Naibu...