NA ROSE JACKSON, ARUSHA TANZANIA
IMEBAINIKA kuwa asilimia 21 ya uchumi wa nchi za Afrika Mashariki kwa kila mwaka unayumbishwa na ughushi wa aina mbali mbali ukiwemo wa luku za umeme ,fedha pamoja na kodi hali ambayo inachangia kiwango kikubwa cha umasikini
Hayo yameelezwa na Sosthenes Bichanga ambaye ni Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la kupambana na ughushi na biashara ya fedha haramu la Ossulivan Association Kenya, wakati akiongea na waandishi wa habari mapema jana jijini hapa.
Alisema kuwa kiwango hicho cha fedha ambazo zinapotea...