Mkurugenzi wa Usimamizi wa Uchumi wa amlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi akitangaza bei mpya ya umeme jana katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Umeme wa mamlaka hiyo, Anastas Mbawala. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
TAARIFA KAMILI
Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya Udhibiti...