
MAMA ANNA MKAPA
Na Magreth Kinabo,Maelezo
JUMLA ya wajasiriamali wapatao 250 kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani watapatiwa mafunzo ya elimu ya ujasiriamali, uzalishaji bora wa bidhaa na uundaji wa vikundi vya uzalishaji ili kukidhi oda kulingana na mahitaji ya soko la ndani na nje ya nchi.
Mafunzo hayo ya muda wa siku tatu kuanzia Juni 25, mwaka huu yatafunguliwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko,...