This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, December 23, 2013

GHARAMA ZA UMEME ZAPANDA TENA

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Uchumi wa amlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi akitangaza bei mpya ya umeme jana katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam. Kulia kwake  ni Mkurugenzi wa Umeme wa mamlaka hiyo, Anastas Mbawala. (PICHA  NA RICHARD MWAIKENDA TAARIFA KAMILI Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya Udhibiti...

Wednesday, December 18, 2013

TANZANIA DISTILLERIES LIMITED(TDL) YAZINDUA PROMOSHENI YASHINDANO LA KUMSAKA MSHINDI ATAKAE PATA FURSA YA KWENDA KUTEMBELEA SHAMBA KUTENGENEZA KINYWAJI CHA AMARULA NCHINI AFRIKA KUSINI LIJULIKANALO KAMA “AMARULA PAN AFRICAPROMOTION”.

Meneja wa kinywaji cha Amarula Diana Baliagati DAR ES SALAAM, Tanzania KAMPUNI ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL) leo imetangaza promosheni ya shindano la kumsaka mshindi wa anayetumia kinywaji cha Amarula, kinacho tengenezwa nchini Afrika Kusini na kusambazwa na TDL nchini maarufu kama nyumba ya Konyagi katika promosheni iliyozinduliwa leo Shoprite Mlimani City jijini Dar es Salam ijulikanayo kama  “Amarula Pan Africa Promotion”. Akizungumza...

Monday, December 9, 2013

TBL YAPATA TUZO MBILI ZA UAJIRI BORA TANZANIA

 Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi cheti kwa Meneja Rasilimali Watu Uhusiano wa Kibiashara (HR Business Partner) wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Emmanuel Christopher (kulia), baada ya kampuni hiyo kupata tuzo ya utoaji mafunzo na maendeleo kwa wafanyakazi yakiwemo ya elimu ya jinsi ya kujikinga na maambukizi ya Ukimwi. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Bw. Almas Maige, Waziri wa Kazi...