
SERIKALI imesema tatizo la msongamano wa
mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam, utakuwa historia baada ya
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuanza kufanyakazi saa 24.
Imesema utaratibu huo utaanza kutumika muda wowote kuanzia sasa na utaongeza tija na ufanisi kwa watumiaji wa bandari.
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Dk. Shaaban Mwinjaka
Hatua ya kuanzisha utaratibu wa
kufanyakazi kwa saa 24, imefikiwa na wadau wanaotumia bandari hiyo kwa...