This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Monday, February 10, 2014

BANDARI YA DAR ES SALAAM KUFANYAKAZI SAA 24

SERIKALI imesema tatizo la msongamano wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam, utakuwa historia baada ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuanza kufanyakazi saa 24. Imesema utaratibu huo utaanza kutumika muda wowote kuanzia sasa na utaongeza tija na ufanisi kwa watumiaji wa bandari. Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Dk. Shaaban Mwinjaka Hatua ya kuanzisha utaratibu wa kufanyakazi kwa saa 24, imefikiwa na wadau wanaotumia bandari hiyo kwa...

Friday, February 7, 2014

AIRTEL KUBORESHA MITAMBO YA HUDUMA ZA AIRTEL MONEY WIKENDI HII

· Mabadiliko yataleta ufanisi kwa huduma ya Airtel money ·Mabadiliko yatawezesha  wateja kufanya mambo mengi na kuongeza watumiaji wa huduma ya Airtel money ·  Mabadiliko yataongeza matumizi ya huduma ya Airtel money Tanzania Dar es Salam, Tanzania  Airtel Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kutoa huduma za kibunifu na zenye ubora nchini iko katika mchakato wa kuboresha mitambo ya huduma ya Airtel money na kuifanya...

Thursday, February 6, 2014

WASHINDI PROMOSHENI YA MIMI NI BINGWA WAPONGEZA AITEL,

Wakati Kampuni ya mitandao ya simu za mkononi ya Airtel ikisubiria kuchezesha droo kubwa ya shilingi Milioni 50 kupitia promosheni ya Mimi ni Bingwa, baadhi ya washindi waliokwishapatikana wamejitokeza wakiisifia kampuni hiyo kwa kuratibu promosheni zenye kulenga maendeleo kwa watanzania walio wengi nchini. Washindi hao wameainisha hayo muda mfupi baada ya kukabidhiwa pesa zao mapema wiki hii kwenye ofisi za makao makuu ya...