
Na Jumia Travel Tanzania
KUJA kwa maendeleo ya sayansi na teknolojia hususani mtandao wa intaneti
kumebadilisha kwa kiasi kikubwa mienendo ya matangazo ya utoaji wa
huduma mbalimbali duniani na hii ni kutokana na uwezo wake wa kuwaruhusu
wateja kutoa ushuhuda, kukosoa au kutoa maoni juu ya walichohudumiwa na
kujionea.Tofauti
na kipindi cha nyuma kidogo ambapo wataalamu wa masoko walikuwa
wanatumia zaidi njia za luninga na redio kuwafikia...