· Wateja wa Airtel kupata huduma kwa haraka na karibu zaidi
· Mradi huu utachochea upatikanaji wa huduma za kifedha
· Airtel yaendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuendelea kuwekeza nchini
Shinyanga
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imetangaza mpango wake wa kuzindua ma duka Saidi...