This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Tuesday, September 25, 2012

TBL YATOA SH. MIL 51 KUSAIDIA UJENZI WA KISIMA MAKANYA,SAME

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL,Steve Kilindo(kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya thamani ya shilingi milioni 51.6 mkurugenzi wa kampuni ya Dr Gogo Engeneering, Godwin Kallaghe (mwenye kofia) kwa ajili ya shughuli ya uchimbaji wa kisima chenye urefu wa futi 120 katika Kata ya Makanya,wilayani Same, Kilimanjaro hivi karibuni. Kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk. Mathayo David.  Wananchi katika Kata ya Makanya, wilayani...

Saturday, September 22, 2012

FARU MPYA AZINDULIWA RASMI MWANZA

 Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya ziwa Erick Mwayela (kushoto) na Meneja wa bia mpya ya Faru Kabula Nshimo, wakigongesha chupa na timu ya promosheni ya bia hiyo wakati wa uzinduzi wake jijini Mwanza jana  Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya ziwa Erick Mwayela (kushoto) akimkabidhi Tshirt mshindi wa bahatinasibu Ally Abdurahmani iliyochezeshwa wakati wa uzinduzi wa bia mpya ya Faru jijini Mwanza jana. Mwana dada akifungua bia ya F...

Wednesday, September 19, 2012

NEW SONY XPLOD CD/DVD CAR AUDIO RECEIVERS CONNECT LISTENERS TO THEIR MUSIC LIKE NEVER BEFORE

DAR ES SALAAM, TANZANIA, 17th September, 2012  SONY, the leading consumer electronics brand, today announced the launch of five new Xplod A/V receivers (XAV-701BT, XAV-741, XAV-601BT, XAV-64BT, and XAV-63). Offering enhanced iPod/iPhone control, a wide range of smartphone and USB connectivity options, multi-channel surround sound and more, Sony’s latest in-dash receivers provide rich, immersive music and video experiences while on the move,...

Tuesday, September 18, 2012

VODACOM YAZINDUA OFA YAKE MPYA YA BONGA

* Wasteja kupiga simu kwa mtandao wanje kwa Tsh1.5, asilimia 50 kutoka kwa Tsh3. * Ili kujiunga kutumia huduma hiyo wateja wanatakiwa kubonyeza  *149*01#. DAR ES SALAAM, TANZANIA Dar es Salaam, Septemba 18, 2012 ... Wateja wa simu za mikononi wanayo sababu za kuendelea kupiga simu kufuatia  kuzinduliwa kwa ofa mpya itakayo wezesha wateja kupiga simu kwa asilimia 50 nafuu Kampuni ya simu ya Vodacom imezindua ofa inayoitwa Bonga tariff...

Sunday, September 9, 2012

OIL AND GAS IN TANZANIA: BUILDING FOR A SUSTAINABLE FUTURE

ZITTO KABWE A call for a moratorium on new offshore exploration. Tanzania is on the precipice of an economic evolution with the recent discoveries of gas. We have now confirmed reserves of 43 Trillion Cubic feet (TCF), roughly valued at USD 430bn[i]. Plans for LNG production are moving ahead of schedule. As a result there will be considerable new gas resources available for power generation and other needs for our economy and people including...