This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, January 31, 2013

ECOBANK WAJA NA HUDUMA BILA KUFIKA MATAWINI

Mkurugenzi Mtendaji, wa wateja binansi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati) akiwa pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo wakielekea kwenye warsha iliyofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam Januari 31 2013.(Na Mpiga Picha Wetu)
 Mkurugenzi Mtendaji, wa wateja binansi na wajasiliamali wa Ecobank Africa, Patrick Akinwuntan (katikati) akisisitiza jambo katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam Januari 31, alipoongea nao kuhusu upatikanaji wa huduma za kibenki bila kufika matawini nchini Tanzania Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo nchini, Enoch Osei-Safo na Mkuu wa Wateja wa binafsi na Wajasiriamali wa benki hiyo, Joyce Malei.

Mshauri wa maswala ya mahusiano wa Ecobank Daisy Mumbi akiwatambusha wakurugenzi kwa waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari. 

NSSF YAWAPA SEMINA VIONGOZI WA SACCOS DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori  akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa viongozi wa Mkoa wa DaresSalam. Kulia ni Meneja Utawala wa Kampuni ya Sccuct, Nicholaus  Wambura ambao ndio waratibu wa semina hiyo.
Mwakilishi wa Saccos ya Ukonga, David Marwa akizungumza wakati wa semina hiyo.
Mwakilishi wa Saccos ya Kinondoni,
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori  akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa viongozi wa Saccos mkoa wa Dar es Salaama. Wa pili kulia ni Meneja wa Kumbukumbu na Takwimu wa NSSF, Shabaan Mpendu.
Ofisa wa NSSF akitoa mada katika semina hiyo.
Ofisa Mwandamizi wa Kitengo cha Sekyta isiyo rasmi NSSF, Sami Khalfan.
Ofisa wa NSSF akitoa mada katika semina.
Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii wa,kiwa katika semina hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Saccos Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika semina hiyo.

NSSF YAWAPA SEMINA VIONGOZI WA SACCOS DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori  akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa viongozi wa Mkoa wa DaresSalam. Kulia ni Meneja Utawala wa Kampuni ya Sccuct, Nicholaus  Wambura ambao ndio waratibu wa semina hiyo.
Mwakilishi wa Saccos ya Ukonga, David Marwa akizungumza wakati wa semina hiyo.
Mwakilishi wa Saccos ya Kinondoni,
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori  akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa viongozi wa Saccos mkoa wa Dar es Salaama. Wa pili kulia ni Meneja wa Kumbukumbu na Takwimu wa NSSF, Shabaan Mpendu.
Ofisa wa NSSF akitoa mada katika semina hiyo.
Ofisa Mwandamizi wa Kitengo cha Sekyta isiyo rasmi NSSF, Sami Khalfan.
Ofisa wa NSSF akitoa mada katika semina.
Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii wa,kiwa katika semina hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Saccos Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika semina hiyo.

Sunday, January 27, 2013

CRDB YAKOPESHA UJENZI WA KITEGA UCHUMI CHA KANISA

Mkuu wa Jimbo Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Anta Muro akizungumza katika hafla ya kuangalia jengo jipya la Kitega Uchumi cha Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani.
 Baadhi ya wadau waliohudhuria hafla hiyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiteta jambo Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.wakati wa  ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi  la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo  kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba. 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.akizungumza wakati wa  ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi  la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo  kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba. 
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki wakati wa  ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo  kutoka benki hiyo. Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Dk Alex Malalusa na Naibu Katibu Mkuu Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Chadiel Sendoro. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipokea ufunguo kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa (wa pili kushoto) wakati wa ziara ya  kukagua jengo la kitega uchumi la kanisa hilo Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo  kutoka benki hiyo. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipeana mkono na Askofu Malasusa baada ya kumkabidhi ufunguo ya jengo hilo ambapo benki hiyo ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo.
 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyo akipeana mkono na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.wakati wa  ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi  la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo  kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba. 
 Mkuu wa Jimbo Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Anta Muro akiomba baraka. kwa ajili ya jengo jipya la Kitega Uchumi cha Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani.
 Askofu Malasusa akitoa baraka.
 Wadau
 Mandhari ya Ukumbi wa mikutano katika jengo la kitega uchumi la Msasani Multpurpose Development Centre (MMDC)
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa akikagua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo  kutoka benki ya CRDB. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.

Wednesday, January 23, 2013

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA YATEMBELEA VIWANDA VYA KONYAGI NA TBL DAR

 Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda  na Biashara, Deo Sanga (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa,kuhusu utengenezaji wa konyagi kubwa wakati wa ziara ya kamati hiyo, kwenye kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi.
 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, Mahamoud Mgimwa (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa wakati wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea kiwanda hicho Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar es salaam
 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara wakitembelea sehemu ya mitambo ya kujaza bia kwenye chupa katika kiwanda cha TBL, Dar es Salaam
 Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania, Martine Calvin (kulia), akiwapatia maelezo kuhusu historia ya kiwanda hicho, wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, walipotembelea kiwanda hicho
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakipita eneo la matanki ya uchachuaji wa bia walipotembelea kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), juzi katika Makao Makuu kampuni hiyo, Dar es Salaam.

 Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu (kulia) akiwakaribisha wajumbe wa kamati hiyo kwenye chumba cha mikutano tayari kupata taarifa ya utendaji wa kampuni hiyo.
 Mkurugenzi wa Miradi Maalumu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Phocas Lasway akitoa maelezo jinsi ongezeko la kodi ya asilimia 25 lililovyoathiri uzalishaji wa kampuni hiyo.
 Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mgimwa akielezea jinsi watakavyoshirikiana na TBL kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazikabili kampuni hiyo.Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Joyce Mapunjo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Joyce Mapunjo (kushoto), ambaye pia ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), akizungumza wakati wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara walipotembelea kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), juzi katika Makao Makuu kampuni hiyo, Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo,  Ahmed Salum na Mahamoud Mgimwa ambaye ni mwenyekiti wa kamati hiyo.
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Wanachama na Mawasiliano wa CTI, Neema Mhondo akielezea jinsi Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kilivyopandisha kiholela ada kwa kampuni mbalimbali kutoka sh. 400,000 hadi milioni 7 kwa mwaka.
Wajumbe wa Kamati hiyo ya Bunge wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza ziara kiwandani hapo.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG