This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Friday, January 24, 2014

TAARIFA FUPI KWA MHE: WAZIRI WA UWEZESHAJI NA UWEKEZAJI MAMA MARY NAGU KUHUSU POVERTY FIGHTING TANZANIA (PFT) TAREHE 24/01/2014 PTA SABA SABA

Mhe: Mgeni Rasmi Waziri wa Uwezeshaji na uwekezaji Mama Marry Nagu.
Awali ya yote tunachukua fursa hii Kukushukuru kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika shughuli yetu hii muhimu inayowahusu wajasilia mali wa Vicoba wanaoratibiwa na PFT katika Manispaa ya Temeke na tunakukaribisha karibu sana Temeke na ujisikie upo Nyumbani

.
1. UTANGULIZI.
Poverty Fighting Tanzania (PFT) ni Taasisi isiyo ya kiserikali lililosajiriwa chini ya sheria ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) sheria namba 24  kifungu kidogo cha 12 sheria ya mwaka 2002 kwa namba ya usajiri 00NGO/00004071.
Ofisi za PFT zipo Mtaa wa Kitunda Tandika Wilaya ya Temeke,Mkoa wa Dar-es-salaam.
2. Muundo wa PFT:
Mhe: Mgeni Rasmi: PFT inaongozwa na Mkutano mkuu hiki ndio chombo cha juu katika kufanya maamuzi yanayohusina sera,na taratibu za PFT, ikifuatiwa na Bodi ya wakurugenzi  na Menejimenti ambayo inasimamia kazi za siku hadi siku  inayoongozwa na mkurugenzi Mtendaji.
3. Lengo la PFT:
Mh: Mgeni Rasmi:

Lengo la PFT:  Ni kuunganisha Nguvu kazi katika kupambana na Umasikini Tanzania.
Dira ya PFT:  Kujenga jamii ambayo itakuwa huru kutokana na umasikini na maradhi .
Dhamira ya PFT:  Kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya jamii kupitia kuanzisha vikundi vilivyoandaliwa na kuwezeshwa kwa ustadi na mitaji ya kutosha.
Mhe: Mgeni rasmi:  Kutokana na malengo hayo PFT inatekeleza shughuli zifuatazo:
·    Kuhamasisha na kuunda vikundi vya Vicoba katika  ngazi chini yaani Grassroots  level
·    Kuwajengea uwezo wanachama wa PFT katika maeneo makuu matatu:
i.    Mfumo wa Vicoba namna unavyofanya kazi
ii.    Stadi za uongozi wa vikundi na ujasilia mali
iii.    Kuwaunganisha wanachama wa Vicoba wa PFT na wadau wengine wa maendeleo  kwa lengo la kujenga ubia na kubadilishana uzoefu,taarifa, maarifa na kupanua masoko yao.
4. Walengwa wa mradi:
Mhe: Mgeni Rasmi:

Katika kutekeleza program ya kupunguza umasikini ,walengwa wa mradi huu ni familia zenye kipato cha chini ,jamii iliyoko pembezoni mwa huduma za kifedha na makundi maalumu.
5. Mafanikio  ya mradi huu:
Mhe: Mgeni rasmi: Hadi kufikia sasa PFT imefanikiwa  kuunda jumla ya Vikundi 130 venye wanachama 2,228 wanawake wakiwa 1,956 sawa na asilimia 87.8 na wanaume wakiwa 272 sawa na asilimia 12.2  wanachama hao wamewekeza jumla ya Tshs: 833,967,140 kupitia mpango wa ununuzi wa hisa za kila wiki na kuchangia mfuko wao wa jamii, fedha zote hizo zinamilikiwa na wanakikundi wenyewe kupitia akaunti  zao 105 zilizofunguliwa Amana Benki  zinazotumika kuifadhi fedha za  mizunguko yao na marejesho ya mikopo yao wanayokopeshana.


Jumla ya mikopo 1,240 yenye thamani ya Tshs: 584,729,000 imetolewa na wana vikundi wenyewe kupitia mifuko yao ya hisa.
Mhe: Mgeni Rasmi  Jumla ya Tshs: 75,779,900 zimegawiwa kwa wanachama hao ikiwa faida itokanayo na mikopo wanayokopeshana kwa kipindi cha miaka 3 sasa.


Mhe: Mgeni Rasmi  pia tumefanikiwa  kuwaunganisha wanachama wa PFT na Taasisi ya kifedha yaani Amana Benki ambayo imekubali kuwakopesha wanachama hao kupitia  PFT jumla ya Tshs: 300,000,000 kwa kuthaminisha bidhaa wanazohitaji wanachama wa PFT ili waweze kukuza shughuli zao za kiuchumi, miongoni mwa mikopo hiyo ndiyo hii ambayo leo utakabidhi  gari aina ya Suzuki carry  6 ,Bajaj 10, Pikipiki aina ya Boxer 19, toyo la kubebea mizigo 1, vifaa vya selemala  vinavyotumia umeme, mbao,vifaa vya  statiories  na vifaa vya shooting Camera kwa vikundi 19 vinavyoratibiwa na PFT vyote vikiwa na thamani ya Tshs: 192,321,000/=
6. Changamoto
Mhe Mgeni Rasmi :

Pamoja na mafanikio yote hayo bado PFT inakabiliwa na changamoto nyingi katika kutimiza malengo yake baadha ya changamoto hizo ni:
i.    Ugumu wa upatikanaji wa mikopo ya masharti nafuu, kwani hata huu mkopo tuliyopata amana tumechukua muda mrefu zaidi ya 5 na Dhamana kubwa iliyowekwa ndio tumefanikiwa kupata mkopo huo kwaiyo hiyo changamoto inayowasumbua wajasilia mali wengi wadogo Tanzania.
ii.    Upungufu wa fursa za kupata elimu ya ujasilia mali zaidi kwa wanachama wetu na kujenga ubia  na wadau wengine wa ndani na je ya nchi kupitia wizara ya uwezeshaji na uwekezaji .
7. Hitimisho:
Mhe:  Mgeni Rasmi :

Mwisho tunaludia tena kukushukuru wewe binafsi na msafara wako mliongozana nao kuja katika shughuli hii  muhimu kwa wajasilia mali wa Temeke, PFT ina imani kubwa na wewe.


Mhe: Mgeni Rasmi : Sisi tunakujua kuwa  una moyo na upendo  kwa PFT na  hiyo imedhirika tena kwa mara ya pili leo,kwani mara ya kwanza Tulikutana ofisini kwako Dodoma mwezi February 2013  ulikuwa na majukumu mengi na msarafa wetu ulikuwa wa ghafla sana  lakini ulitupokea na kutusaidia kwa kutuunganisha na Viongozi wa Baraza la uwezeshaji la Taifa ahsante Mhe: Waziri.

 
Mhe: Mgeni Rasmi: kupitia kwako Menejimenti , Bodi ya Wakurugenzi  na wanachama wote wa PFT  tunampongeza sana mwenyekiti wetu wa bodi Mhe; Abbas  Mtemvu ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa usimamizi wake makini wa PFT hadi kufikia mafanikio haya.


Imani yetu ni kwamba utaendelea kushirikiana nasi na  kutusaidia mara kwa mara kwa kadri ya uwezo wako  ili wajasilia mali hawa wa Temeke waweze kufaidika na fursa zinazotokea katika wizara yako ambazo zinawalenga wao.


Tunakutakia kila heri na mafanikio katika utendaji wako wa majukumu ya kitaifa,Sisi PFT tutaendelea kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha tunatekeleza mkakati wa kukuza uchumi na kupunguza umasikini wa kipato Tanzania (MKUKUTA II)


Karibu tena Temeke wewe na msarafa wako
Naomba kuwasilisha:
VICOBA SILAHA DHIDI YA UMASIKINI
NI MARUFUKU KUKATA TAMAA

Sunday, January 19, 2014

KAMPUNI YA WORLD BUZ YAELEZA NJIA MBADALA KUPUNGUZA GHARA WA WAFANYABIASHARA WADOGO KUFUATA BIDHAA CHINA

1a
Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Palace jijini Arusha wakati wa semina na waandishi hao kuhusu mfumo wa kampuni hiyo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta soko la bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China, kulia ni Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUSHA) 2Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akifafanua jambo wakati wa semina hiyo kwenye hoteli ya Palace jijini Arusha, kulia ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na kushoto ni mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo China. 3 
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande akionyesha kipeperushi kinachoelezea moja ya makampuni makubwa ya bishara ambayo yamesaini mikataba ya kibiashara na kampuni ya China World Buz, katikati ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na wa pili kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda 6 Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akielezea mfumo ambao kampuni hiyo itautumia kuwagizia bidhaa za wafanyabiashara ambao hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli kwani hatalazimika kusafiri kwenda chini ili kununua biashara badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo, Katikati ni Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo hapa nchini Bw. Shafii Mwaijande 7Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akielezea mfumo wa soko kwa Watanzania nchini China kwa sasa ambao unawapa gharama kubwa wafanyabiashara. 8 
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika semina hiyo leo
1 

Wednesday, January 8, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APOKEA SARAFU YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiitazama  Sarafu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo ina uzito ya g 16, baada ya kuipokea kutoka kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (kushoto), Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,  Jan 7, 2014. Picha na OMR

Thursday, January 2, 2014

SERENGETI BREWERIES YAZAWADIA WATEJA

Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman akizungumza na mmoja wa washindi kwa njia ya simu ya kiganjani, kulia ni Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao akishuhudi katika droo hiyo. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga. Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman akizungumza na mmoja wa washindi kwa njia ya simu ya kiganjani, kulia ni Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao akishuhudi katika droo hiyo. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa SBL,Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao (kushoto) akionesha kuponi ya mmoja wa wateja aliyeibuka mshindi katika droo hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries, Azda Aman na Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga (kushoto) akishuhudia tukio hilo. Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao (kushoto) akionesha kuponi ya mmoja wa wateja aliyeibuka mshindi katika droo hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries, Azda Aman na Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga (kushoto) akishuhudia tukio hiloMkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao (wa pili kushoto) akionesha kuponi ya mmoja wa wateja aliyeibuka mshindi katika droo hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries, Azda Aman na Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga (kushoto) akishuhudia tukio hilo. Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao (wa pili kushoto) akionesha kuponi ya mmoja wa wateja aliyeibuka mshindi katika droo hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries, Azda Aman na Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga (kushoto) akishuhudia tukio hiloZoezi la uchezeshaji droo hiyo likiendelea. Zoezi la uchezeshaji droo hiyo likiendelea.Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman akizungumza na mmoja wa washindi kwa njia ya simu ya kiganjani, kulia ni Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao akishuhudi katika droo hiyo. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga. Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman akizungumza na mmoja wa washindi kwa njia ya simu ya kiganjani, kulia ni Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao akishuhudi katika droo hiyo. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga.[/caption] KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL) kupitia kinywaji chake kikali cha Baileys imetoa zawadi mbili za LCD TV kubwa za kisasa kwa wateja wake wawili wa jijini Dar es Salaam walioshinda katika shindano la bahati nasibu lililoendeshwa katika Super Market kadhaa za jijini Dar es Salaam. Wateja hao walibahatika baada ya kununua kinywaji cha Baileys katika maduka hayo makubwa na kujaza kuponi maalumu ambazo leo zilichezeshwa na SBL kisha majina yao kushinda katika droo ya kuwatafuta washindi wawili ambao wamejishindia LCD televisheni ya nchi 32. Droo hiyo ya kumtafuta mshindi iliyosimamiwa na Mamlaka ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini Tanzania, imechezeshwa leo jijini Dar es Salaam katika Kiwanda cha SBL kilichopo Wilaya ya Temeke. Meneja wa Vinywaji Vikali toka SBL, Azda Aman aliwataja walioibuka washindi baada ya droo hiyo ni Adeline Gido wa Sinza pamoja na Twaha John kutoka Makumbusho wote wa jijini Dar es Salaam. Alisema kila mmoja amejishindia LCD TV kubwa za nchi 32 ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuwashukuru wateja wao wa kuunga mkono kinywaji hicho kikali ambacho kwa sasa kipo katika muonekano mpya wenye mvuto zaidi. Zawadi hizi tumetoa kwa kutambua mchango wa wateja wetu katika kutuunga mkono kwenye bidhaa zetu. Wateja hao wote tayari wamearifiwa ili kuja katika ofisi za SBL kwa ajili ya kukabidhiwa zawadi zao waliojishindia.