Saturday, September 22, 2012

FARU MPYA AZINDULIWA RASMI MWANZA

 Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya ziwa Erick Mwayela (kushoto) na Meneja wa bia mpya ya Faru Kabula Nshimo, wakigongesha chupa na timu ya promosheni ya bia hiyo wakati wa uzinduzi wake jijini Mwanza jana
 Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya ziwa Erick Mwayela (kushoto) akimkabidhi Tshirt mshindi wa bahatinasibu Ally Abdurahmani iliyochezeshwa wakati wa uzinduzi wa bia mpya ya Faru jijini Mwanza jana.
Mwana dada akifungua bia ya Faru

0 comments:

Post a Comment