Saturday, June 30, 2012

MAONYESHO YA BUSINESS DEVELOPMENT GATEAWAY YAKAMILIKA

 Ras Mizizi wa kikundi cha Wa Asili Asili akitoa maelezo kwa Mh. Waziri Mkuu, ndugu Mizengo Pinda juu ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi,katikati ni mwenyekiti wa TPSF Mama Esther Mkwizu
 Fatma Kange akitoa maelezo juu ya umuhimu wa bar codes katika bidhaa za Tanzania kwa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda
Dada Mary wa Malaki Enterprises  kutoka Mkoa wa Ruvuma  akimpa maelekkezo moja ya wageni walotembelea banda lake ,leo Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
Bidhaa za Soya kutoka  Gemji Home Bakery Healthy Bread zkiwa zimehifadhiwa katika viwango vya juu kabisa.

0 comments:

Post a Comment