Tuesday, July 23, 2013

Washindi watatu wa Tigo "Miliki Biashara Yako" ibuka na Bajaji wapatikana

Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga (kulia) akizungumza na mmoja wa washindi watatu wa "Miliki Biashara Yako" katika droo ya kwanza ya promosheni hiyo mapema jana.  Katikati ni Bi. Chiku Saleh, Mkaguzi kutoka shirika la Bahati Nasibu Tanzania na Husni Seif, Meneja Bidhaa wa Tigo.

0 comments:

Post a Comment